Nimekua nikipitia Habari mbali mbali hapa kuhusiana na
kukosa hamu ya tendo kwa Wanawake pamoja na kusoma comments za wadau
mbalimbali
Lakin stil sijaona suluhu yaani dawa ya kuleta ashki iliyopimwa mamlaka ya afya na kuthibitishwa katika matumizi
Jaman nahitaji dawa ya ashki kwa yoyote mwenye nayo anisaidie tafadhali.ama anielekeze zinapopatikana tafadhali
Najitahidi sana kumuomba Mwenyez Mungu juu ya hili tatizo ila bado sijapata dawa wala ufumbuz ila najua Mungu ndio kila kitu.na ntapona ivyo kwangu Mwenyez Mungu ndio kila kitu
Njia nyingine
Nishaenda kwa psychologists but it doesn't.work.....nishaenda hospital but they told me I don't have any problem......nishachekiwa vipimo vya kila namna Sina jini mahaba wala nn na Sina stress zozote zile sababu naishi maisha mazuri sana ambayo kila mmoja angetamani ayapate
Lengo haswa la uzi huu nahitaji dawa tu nasio ushauri tafadhali naomba mnielewe.....nahitaji dawa ya ashki tú iwe ya mitishamba ama yoyote ile kikubwa iwe imethibitishwa kimatumizi
Kwa yoyote mwenye dawa ya ashki kwa Wanawake anipatie tafadhali ....sitaki jokes kua serious na kama huna mchango potezea tú
Nb nimeolewa na ndoa yangu bado ni changa!!!!!!!
Mwenye iyo dawa tujuzane.....Ahsanteni!!!!!!

Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )
Post a Comment