Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )
Loading...
Home
» WASANII
» MREMBO Kim Kardashian Anajipanga Kuomba Talaka Kwa Kanye West....Adai Hana Furaha Ndani ya Ndoa
MREMBO Kim Kardashian Anajipanga Kuomba Talaka Kwa Kanye West....Adai Hana Furaha Ndani ya Ndoa
Ndoa ya Mwanamuziki Kanye West na Mrembo Kim Kardashian Huenda inaelekea ukingoni baada ya Tovuti ya US Weekly Kutoboa siri kuwa KIM Kardashian inasemekana anajipanga kuomba talaka baada ya Kanye West atakapo pona , Inasemekana Kardashian hana furaha ndani ya ndoa hiyo kwani kwa sasa wanaishi nyumba tofauti .....
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )
Post a Comment