Mpenzi mpya wa Shilole ambaye ni mfanyabiashara wa nguo, Adam, amefunguka na kuzungumzia jinsi wanavyopendana na Shilole.
Kijana huyo alikiambia kipindi cha Planet Bongo cha EA Radio kuwa
hamwangalii Shilole alipotoka bali anaangalia hapo alipo kwa sasa na
anamuomba sana Mungu ili waweze kufika mbali zaidi.
“Mimi sijafuata boost kwa Shilole bali nimefuata mapenzi na mimi naweza
kusema kuwa hayo ya nyuma siyaangalii bali naangalia hapa tulipo,”
alisema Adam
Aliongeza “Kwa sasa na mimi kuchora tattoo ni moyo wangu tu umetaka mimi
kufanya hivi, na ninachomuomba Mungu ni kufika mbali tu na yeye basi,”
Hapo awali Shilole kabla ya kuingia kwenye mahusiano na kijana huyo
alikuwa anatoka na msanii chipukizi wa muziki aitwae Hamadai.
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )
During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip. During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip.
Post a Comment