Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Jamii Media Limited, inayomiliki
mtandao wa kijamii wa Jamii Forum (JF), Maxence Melo amepandishwa
kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu akikabiliwa na kesi
tatu tofauti lakini akasomewa mashtaka matatu.
Katika kesi hizo amesomewa mashtaka matatu, shitaka moja katika kila kesi.
Mashtaka hayo ni pamoja na kuendesha shughuli za mtandao wa kijamii bila kusajiliwa nchini na mawili ni kuzuia upelelezi.
Melo amefanikiwa kupata dhamana katika kesi mbili lakini akakwama katika
kesi moja baada ya kushindwa kutimiza sharti la kupata wadhamini wawili
na badala yake akampata mdhamini mmoja tu.
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )
During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip. During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip.
Post a Comment