Kuna
miezi 12 katika mwaka siku 30 katika mwezi�siku 7 katika wiki, masaa
24 katika siku dakika 60 katika saa��lakini wewe ni mmoja tu maishani mwangu.
****
I
asked God for a rose and He gave me a garden. I asked God for a drop of
water and He gave me an ocean. I asked God for an angel and He gave me
you!
****
Kuna vitu viwili zinavyoniamsha asubuhi na mapema: Alamu ya saa yangu na wewe
*****
I
will walk with you side by side for only one condition: hide your wings
every time we walk together because the whole world might know that
you're my angel!
****
Bongo
zenye fikra kali huwa na mawazo, suluhu na sababu; ubongo wa kisayansi
huwa na kanuni, nadharia na takwimu; wangu una wewe tu!
****
Do
you take me to be your lawfully wedded text mate, in sickness or in
health, through metering or not, till low bat do us part?
****
Penzi linaweza kuelezewa kwa namna nyingi. Namna moja niijuayo nikumtumia mapenzi hayo mtu asomaye meseji hii.
****
Each
of us is an angel with one wing. The only way we could fly is to hold
each other and share wings. So if you have trouble flying, I will always
share mine with you.
****
Kama ningeweza kubadili herufi, ningeweka yangu na yako kuwa pamoja.
****
Minsan
caring is better than loving. Minsan tea is better than coffee. Minsan
smile is better than laughter. Pero nobody is better than you.
****
Umewekwa usiku ili tuweze tuukubali mchana, huzuni ili tuikubali furaha, ubaya ili tuukubali uzuri, wewe ili niyakunali mapenzi.
I
don't want to say I miss you, though deep inside I do, coz I'm afraid
you might see thru and know how much fear I have of losing someone like
you.
****
Unaonekana kung�ara leo nilijuaje��.ni kwasababu unaonekana hivyo kila siku
****
You
greeted me hi, I didn't reply. You gave me a sweet smile, I responded
with a sigh. You showed me your love, you received a shrug. But when you
bid goodbye I began to cry.
****
I
have heard from the phone company, the water company, the electric
company, but haven't heard from you. Too bad, it's your company I love
the most.
****
Mapenzi
ni nini? Wale wasiopenda huita majukumu, wale wanaoyachezea huita
mchezo, wale wasiokuwa nayo huita ndoto, na wale wanaoelewa huyaita
mwisho wa safari, na mimi, mwisho wangu ni wewe.
****
I've been wondering why you're not texting... Multiple choices: a. busy b. dilemma c. tired d. thrifty e. want me to miss you.
****
Love
is something special, a treasure I want to find... To others, love is
blind but for me, its not true, coz when I fell in love...I saw you.
****
Ni mapenzi gani yanayofanya simu yako ilie kila nitumapo meseji?
****
True love is hard to find, special one, one of a kind. I know because it appeared to me on a strange day I met you.
****
Kama mapenzi huweza kukimbiwa kwa kufumba macho yetu tu, basi nisingefunika macho kabisa. Sitaki sekunde ipite bila kukupenda wewe.
****
While
you gave her flowers, you gave me thorns. While all she did was smile,
all I did is mourn. While she was so happy, I felt so blue. Because
while you loved her, I was loving you.
****
Nilikuwa nikifiria kwamba ndoto haziwezi kuwa kweli, lakini nilibadili mawazo yangu pale tu nilipokuona wewe.
****
Baadhi
ya watu huzaliwa na vipaji. Huweza kufanya mambo mazuri kwa ujuzi wao,
lakini hamna anayekufikia wewe, kwani ukinisogelea tu kila kitu huwa
kizuri.
****
Can
I say I love you today? If not, can I ask you again tomorrow? And the
day after tomorrow? And the day after that? Coz I'll be loving you every
single day of my life.
****
Mwanamke ni yule amfanyaye mwanamme auhisi uanaume wake, wewe ni mwanamke mwenye sifa hizo.
****
If
love is a disease then I'm very ill. But I would not want medicine and
won't take any pill. I would instead suffer this illness and be
bedridden with joy of knowing you.
****
Kukusahau wewe ni ngumu lakini kunisahau mimi ni juu yako. Usinisahau kamwe, unaweza kuisahau meseji hii, lakini si mtumaji.
****
First
time I saw you, I was scared to touch you. First time I touched you, I
was scared to kiss you. First time I kissed you, I was scared to love
you. But now that I love you, I'm scared to lose you!
****
Mambo
yanapokwenda mrama kumbuka kuwa kuna Mungu peponi anayekupenda na
kukuangalia, lakini yupo duniani anayekujali ambaye ni mimi peke yangu.
****
An angel asked me a reason why I care for you so much. I told her I care for you so much coz there's no reason not to.
****
Why do birds fall from the sky every time you walk by? Maybe because like me they want to be near you!
****
Simu
huboa wakati mwingine, kwani ni lazima ufungue meseji na kuzisoma,
kuichaji simu kila mara, lakini usichoke kwani ndiyo inayotuwezesha
tuwasiliane
****
They
say as long as at least one person cares for you, life isn't a waste.
So when things go terribly wrong, and you feel like giving up, please
remember you still got me.
****
Maneno huanza na ABC. Namba 123. Muziki na do re mi na mapenzi huanza na mimi na wewe.
****
If
only one star would fall every time I miss you, then all the stars in
heaven would be gone. Don't wonder if there are no stars tonight! It's
your fault coz you made me miss you a lot.
****
Mvua na jua haviwezi kuwa pamoja, usiku na mchana hazigongani, lakini mimi na wewe, hata wasemaje, �tunafiti� kuwa pamoja.
****
If
someone would ask me what a beautiful life means, I would lean my head
on your shoulder and hold you close to me and answer with a smile: "Like
this!"
****
Niotapo ndoto, hukuota wewe...labda siku moja, inaweza kuwa kweli.
****
Life
may sometimes be a rough road to walk on where everything seems wrong.
But don't give up. Just go on coz when you think you're all alone, look
back and you'll find me walking along.
****
Kuna
bahari kati yetu. Misitu na milima inatutenganisha, mimi si
�Supamani� lakini nipe sekunde moja nitavuka nchi nyingi kukutumia
mapenzi yangu. Umeipata hiyo?
****
Someone
once asked me, "Have you ever fallen in love?" Then I answered, "Of
course, once." Then they asked me another question: "Did it hurt?" I
thought of you and told them "Yes, very much".
****
Kama ningeweza kutenga muda kidogo na kuufanya uendelee kung�ara siku zote, siku zote nilizoishi ningechagua wakati nilivyoishi nawe.
****
I
used to think that the world is so unfair, that it gave me so many
reasons to hate it. But now, how can I hate such a wonderful world that
gave me you?
****
Natamani
ningekuwa chozi jichoni mwako ambapo ningetelemka na kuishia midomoni
mwako, lakini kamwe sitamani uwe chozi jichoni mwangu nitakupoteza kila
muda niliapo.
****
When
it rains, you don't see the sun, but it's there. Hope we can be like
that. We don't always see each other, but we will always be there for
one another.
****
Naweza
kuishiwa ujumbe wa kukutumia. Naweza kuishiwa utani pia. Naweza
kuishiwa chaji lakini moyo wangu hauwezi kukosa nafasi ya kukuweka.
****
You'll
know that you miss someone very much when every time you think of that
person, your heart breaks into pieces and just a quick "Hello" from that
person can bring the broken pieces back.
****
Penzi, maisha yangu yote nimesoma juu ya neno hili, nimeota juu yake, nimelilia, nimelihitaji. Sasa pamoja nawe nimelipata.
****
When
the time comes I can't smile anymore, don't worry about me, I know what
to do. I'll just stare at one corner and think of you. No one else
could make me happy like the way you do.
****
Kila mtu anataka kuwa jua
linalong�arisha maisha yako, lakini ni afadhali niwe mwezi, ili
nikuangazie wakati wa giza ambapo jua limechwea na haliangazi tena.
****
There's
a love that only you can give, a smile that only your lips can show, a
twinkle that can only be seen in your eyes, and a life of mine that you
alone can complete.
****
Ah�Nimesahau jina lako. Ninaweza kukuita langu? Na iwapo utasahau langu, niite lako mpenzi!
****
If
I had the letters "HRT", I can add "EA" to get a "HEART" or a "U" and
get "HURT". But I'd rather choose "U" and get "HURT" than have a "HEART"
without "U".
****
Unaweza
usione kamwe ni kwa kiasi gani ninavyokujali. Unaweza usisikie ni kwa
kiasi gani nilivyokushiba, unaweza usihisi namna gani ninavyokukumbuka.
Sababu ni moyo wangu tu uliyoyaficha hayo.
****
There are 4 steps to happiness: 1. you, 2. me, 3. our hearts, 4. together!
****
A
day may start or end without a message from me, but believe me it won't
start or end without me thinking of you. See! I just did. Take care.
****
Kama busu ni maji ningekupatia bahari, kukumbatia ni majani, ningekupa msitu. Mapenzi ni maisha ningekupa yangu bure.
****
It's
hard to say hello because it might be goodbye. It's hard to say I'm
okay because sometimes I'm not. But it's easy to say I miss you coz I
know that I really do.
****
Ni
ngumu kwa watu wawili kupendana wanapoishi Dunia tofauti, lakini Dunia
hizo zikutanapo na kuwa kitu kimoja, hiyo ndiyo maana ya kuitwa wewe na
mimi.
****
If
you're feeling lonely and you think there is nobody there to love,
support, listen or show they care, just save this message and every time
you realize it, it will remind you that a part of me is always there
with you.
****
Watu
husema kwamba, awapo mtu mmoja tu akupendaye, maisha hayajapoteza
maana, kwa hiyo, ukijihisi mpweke hauhitaji kuishi nikumbuke mimi.
***
Roses are red, violets are blue. I am waiting to hear from a cute guy like you.
****
Watu waliniambia ninaweza kufanya
chochote kama tu nitaweka mawazo yangu juu ya hicho kitu. Lakini kila
nikijitahidi unaipoteza akili yangu
****
Do
you know that men and women are angels created with only one wing? And
they need to embrace each other to be able to fly... Hope you can find
your angel whom you can fly with forever.
****
Furaha
yangu kubwa ni kuliona tabasamu lako, kujua uko na furaha, na kuhisi
upendo wako. Najua kuwa maisha mara nyingine huwa ni makatili, na hiyo
ni sababu niko hapa kukuonyesha kuwa maisha yanaweza kuwa mazuri kama kuna mtu anayekujali.
****
I
always think of you, but I always fail to know the reason why. Is there
something else I should know about you? But there is one thing that I
know is true. That life will always be sad without you.
****
Chuki huharibu akili; mapenzi huitibu. Umeitibu akili yangu.
****
Don't say you love me unless you really mean it cause I might do something crazy like believe it.
****
Kumjali mtu ni rahisi, lakini kumfanya mtu akujali ni vigumu, nashangaa umewezaje kunifanya nikujali?
****
I'm
afraid to close my eyes coz I might think of you. I'm afraid to open
them coz I might see you. I'm afraid to move my lips coz I might speak
of you. I'm afraid to listen coz I might hear my heart fall for you.
****
I'm
sorry to be smiling every time you're near. I'm sorry my eyes twinkle
whenever you're here. I'm sorry that cupid has made his hit. I'm sorry I
love you, I can't help it.
****
Nitafute
wakati una huzuni, nitafute wakati hamna wa kukusikiliza. Sijali kama
mimi ni kimbilio lako la mwisho, bali sipendi ulie peke yako.
****
If
love can be avoided simply by closing our eyes, I wouldn't blink at all
for I don't want to let a second pass having fallen out of love with
you.
****
Ningependa siku moja utamani sana
kuwa na mimi, na uhangaike sana kunitafuta, ili ujue ni kwa kiasi
ninavyotamani kuwa nawe sasa.
****
If
I could be any letter in the alphabet, I'd choose "V" so I can be next
to "U"; if you could be any note, I wish you're "RE" so you�re always
beside "ME"!
****
Kila
unachokifanya natamani niwepo, nikitumainia kila ndoto yako itimie kila
muda na sehemu, niwepo nikikutakia mafanikio mema kwasababu nakujali.
****
The
spaces between our fingers were created so that another person's
fingers could fill them in. Hope you'll find your dream hand to hold you
forever.
****
Viungo vyote vya mwili wangu vinakuhitaji, inawezekana kwasababu nimeumbwa kwa ajili yako.
****
When you love someone, draw a circle around their name instead of a heart coz hearts can be broken but circles never end.
****
Nobody
tells fish to swim, birds to fly, cows to moo, dogs to bark - they just
do. Just like nobody tells me to remember you. I just do!
****
Kama ungekuwa kidonda kwenye moyo wangu, ningekiacha na maumivu yake ndani yangu.
****
Whenever
you feel blue, I will be there for you. Whenever you are sad, I will
stay by your side. Whenever you need someone to love, I will always be
there for you to have.
****
They
can recycle paper till it's as good as new, reproduce cans and jars and
old bottles too, but they can never recycle another person as wonderful
as you.
****
What good is beauty without brains, looks without charm, money without happiness, a smile without feelings, a life without you?
****
Kusumbuliwa
na mlio wa simu yako, humaanisha kuwa muda fulani, mahali fulani, kuna
mtu anakufikiria muda huu, na huyo ni mimi mara zote nakujali.
****
A
person you love is an extension of yourself. Without it, you're not
complete so better take care of yourself because I don't want to lose a
part of me.
****
I
wish my eyes could speak what my heart feels for you; coz my lips can
lie on what is true. My eyes couldn't coz even if I close them I could
still see you.
****
Every
time I hear my text tone, I always hope one of them is from you. My
cell phone may have limited memory space but my heart has unlimited
space for someone like you.
****
Nimekuapata! Kama unanichukia, nipige mshale, lakini tafadhali si moyoni sababu hapo ndipo wewe ulipo.
****
Someone
asked what makes people happy. Some said wealth and some said fame. I
was thinking about this when my cell phone beeped and received a text
from you. Then, I smiled and said: "This makes me happy."
****
You're
like a target that I always try to aim at. How I wish I could aim you
at the heart. But every time I fail, I feel so sad. You know why? It's
because I always end up missing you.
****
Naweza
kukuazima mabega yangu upande, masikio yangu usikilizie mikono yangu
ushikie, miguu yangu, utembelee, lakini si moyo wangu kwani tayari unao
wewe.
****
If I get takot, would you hawak me
tight? If I gawa something mali, would you make it right? If I build an
apoy, would you bantay the flame? If I sabi I miss u, would you ramdam
the same?
****
Lazima
utakuwa mwizi sababu umeiba moyo wangu, umechoka sababu unakimbia mara
zote akilini mwangu, na labda mimi sina shabaha sababu mara zote
nikikulenga nakukosa.
****
Mpenzi
kwa mara ya kwanza nilipokuana niliogopa kukuambia, hata nilipokuambia
niliogopa kukupenda, nilipokupenda sasa naogopa mno kukupoteza. Kusema
kweli siko tayari kukukosa katika maisha yangu.
****
If
a kiss were a raindrop, I'd send you showers. If hugs were a second,
I'd send you hours. If smiles were water, I'd send you the sea. If love
was a person, I'd send you me.
If I had to choose whether to breathe or to love you, I would use my last breath to tell you that... I love you.
****
Wanasema
mtu huanguka katika mapenzi mara moja, jambo ambalo mimi naliona si la
kweli kwa maana kila ninapokutazama najikuta nakupenda tena na tena.
****
It's
magic each time we hold each other, each time we cuddle, and each time
we kiss. I feel goosebumps all over again. I never want to let you go
for fear of losing you, so I just hold on a little bit tighter each day,
refusing to let go. You will never know the warmth I feel inside me
when I'm with you. You're all I ever wanted.
****
Mpenzi
wangu kukutana nawe ilikuwa ni bahati, kukuchagua kuwa rafiki yangu
ilikuwa ni maamuzi yangu, lakini kuanguka kwenye penzi lako haikuwa
hiyari yangu. Umeniteka moyo na akili yangu pia.
****
You
may not love me like I love you,You may not care for me like I care for
you But if you ever need me, I will always be around for you.
****
Imani
hufanya mambo yote yawezekane, Matumaini hufufua yaliyopoteza uhai,
lakini mapenzi hufanya mambo yote yaonekane mazuri. Sina
linalonihuzunisha maishani mwangu kwa kuwa tunapendana!
****
Love doesn't make the world go round, it just makes the ride worthwhile. Love is in your heart not to stay, but to be shared.
****
Mpenzi
wangu T tambua kuwa ulimwengu tunaoishi una mambo muhimu matatu. Jambo
la kwanza ni kumpata umpendaye, la pili ni kupata atakayekupenda la tatu
ambalo ni kubwa kuliko yote ni kwa jambo la kwanza na la pili kuungana
pamoja.
****
If you love someone, you give everything as you can and don't expect to receive anything in return.
****
Ni
vigumu kumpata mwenye mapenzi ya kweli na zaidi yule atakayekuwa tayari
kukupenda zaidi, hivyo nafasi inapopatika si busara kuichezea tudumishe
penzi letu laazizi wangu.
****
Mpenzi nakupa pole sana maana nimesikia habari mbaya kwamba unatafutwa na polisi kwa kosa kubwa sana
ambalo huwezi kulikana na lina ushahidi wa kutosha kwamba unatuhumiwa
kuiba moyo na mawazo yangu kiasi cha kunijeruhi mawazo yangu hadi sasa
naonekana kama chizi.
****
When you will find any reason for your love,you should know that your love is not true....because true love has no reasons...
****
You
don't have to love in words; even through the silences love is always
heard. I Love You Honey! The way you look into my eyes It scares me The
way you say "I love you"
****
Nakupenda mpenzi W nafasi
uliyotawala moyoni mwangu ni kubwa, hakuna ambaye anaweza kufikia
uhodari wako, wewe ni mtu muhimu sana maishani mwangu.
****
Just
3 words, i have to say it ,no matter where we are,no matter who were
with, no matter how lond it takes i have to say i love you
****
Nakupenda sana
mwandani wangu ndiyo maana moyo wangu hupatwa kidonda ninaokuona na
mwingine hasa anapokuwa hana sifa, nahisi kama anakutumia wewe kama mdori wake wa kumfurahisha. Uwe makini ua la moyo wangu.
****
J,
I love u frm core of my heart.My Every beat of heart is u n wen it pumb
blood frm heart n blood goes to brain it again remember's u....I LOVE U
****
I
wish my eyes could speak what my heart feels for u bcoz my lips could
lie on what is true.My eyes couldn't bcoz even if would close them i
would still see u ....... love you still n after my last breath
****
Nakupenda
mpenzi wangu, sifikirii kitu chochote zaidi yako na kwa kuwa nakupenda
sipendi kuwa na urafiki hata na msichana kwani atakuwa anabana nafasi
niliyokuwekea wewe. Noamba unipende nami nakupenda kila sikunde
inayopita maishani mwangu. Mwaaaaaaaaa baby.
****
Penzi
lako ndiyo pumzi yangu nawezaje kukuacha laazizi, ina maana nife???
Siwezi kukuacha nakupenda. Nitakupenda mpaka mwisho wa uhai wangu.
****
I
LOVE you not for who you are, but for how you make me feel... Every
time you touch me i can feel my heart going BOOM BOOM BOOM and it goes
faster and faster. When you are not next to me i feel like a part of me
****
Asali
wa moyo wangu, fahamu kuwa unaweza kuamini kwamba mwanga wa nyota
unaweza kuunguza nyumba, jua linaweza kusimama, lakini usiwaze hata siku
moja kuwa naweza kukuacha.
****
To
the soul that hug my soul,to the heart that kept his secret in mine,to
the hand that lighted the fire of my emotions,to my lovely
butterfly....love will keep us alive
****
Nakupenda sana P tafadhari
usinikasirikie, nimekukumbuka nahitaji kukuona unipoze moyo wangu, njooo
mwandani wangu nakusubiri daktari wangu.
****
U
may be out of my sight, but not out of my heart. U may be out of my
reach, but not out of my mind. I may mean nothing to u, but u'll always
be special to me.
****
I
love so much my heart is sure. As time goes on I love you more. Your
happy smile, Your loving face, No one will ever take your place.
****
Mpenzi
unawafahamu maadui wa mapenzi yetu ? Ni wale rafiki zako wanaokuletea
maneno ya uongo, ndugu zako wanaotugombanisha na wachawi wanotuotea
mabaya, tujihadhari tusiwape ushindi. Mapenzi yetu yadumu daima.
****
You
have my heart, my soul, and my love. you mean the world to me, and i
would do anything for you. you are my true love and I want to be with
you forever. you are truley amazing and deserve the very best. I only h
****
Uchungu wa kifo hauna tofauti na maumivu nitakayoyapata ukiniachana, mpenzi usiniache nami siko tayari kukuacha.
****
I
love you. I love every little thing about you. I love your cute smile,
your magical eyes, and the sound of your voice. I love your gentle
touch, and I love the warmth I feel when I�m by your side. I can't
stop thinking about u.
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )
Post a Comment