Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema, Edward Lowassa amesema ataingia Ikulu
baada ya miaka minne ijayo na rafiki yake T.B Joshua amemtabiria kuwa
Serikali ijayo itaongozwa na Chadema.
Lowassa, ambaye alishika nafasi ya pili katika kinyang’anyiro cha urais
mwaka jana, ameshaonyesha nia ya kuingia tena kwenye mpambano huo wakati
wa Uchaguzi Mkuu wa 2020.
Akizungumza na viongozi na wanachama wa Chadema mkoani hapa, waziri huyo
mkuu wa zamani alisema ana uhakika wa kuingia Ikulu bila ya umwagaji wa
damu.
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )
During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip. During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip.
Post a Comment