Msanii wa Bongofleva Alikiba Jumamosi ya December 17 2016 alikuwa Uganda
kucheza mchezo wa Hisani kwa ajili ya kuchangia mfuko wa kusaidia wa
mama wajawazito ambao unajulikana kama Dorah Foundation.
Alikiba akiwa katika mchezo huo wa soka wa hisani uliyowahusisha mastaa
mbalimbali, upande wake wa The Celebrity White Team waliibuka na ushindi
wa goli 4-1, huku Alikiba akiwa kahusika katika upatikanaji wa goli la
pili katika ushindi huo.
Upande wa timu ya Alikiba alikuwa na staa wa soka aliyetamba na Simba na
Yanga Emanuel Okwi, ambapo mchezo ulimalizika na Alikiba katika mchezo
huo wa hisani alipewa tuzo ya The Best Celebrity Player Award, kama
hufahamu ukiachana na muziki Alikiba pia ana uwezo wa kucheza mpira.
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )
During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip. During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip.
Post a Comment