Moja kati ya picha ambazo zimekuwa zikisambaa kwa kasi katika mtandao wa
Instagram leo Jumamosi ya November 26 ni picha ya muigizaji Aunty
Ezekiel pamoja na mpenzi wake Mose Iyobo.
Picha hiyo ambayo imepostiwa na baadhi ya watu ikiwemo Mose Iyobo
mwenyewe inamuonesha Aunty Ezikiel akiwa mjamzito, kitu ambacho
kimefanya baadhi ya mashabiki wao kutoa comment za pongezi.
Kama utakuwa unakumbuka vizuri Mose Iyobo na Aunty Ezekiel wana mtoto wa
kike anayejulikana kwa jina la Cookie hivyo kwa mujibu wa post ya Mose
Iyobo inawezekana wakawa wanatarajia mtoto wa pili.
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )
During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip. During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip.
Post a Comment