KENYA: Kamati ya maswala ya afya nchini Kenya imependekeza daktari feki
aliyekamatwa nchini humo aruhusiwa kujiendeleza na masomo ya udaktari
badala ya kutumikia kifungo gerezani.
Kauli hiyo imetolewa baada ya kubainika kuwa daktari huyo feki
alifanikiwa kufanya upasuaji kwa wagojwa tisa ambao kati ya yao wanane
walipona na mmoja ambae alikuwa mjamzito ndiye aliyepoteza maisha huku
akifanikiwa kumuokoa mtoto aliyekuwemo tumboni mwa mjamzito huyo.
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )
During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip. During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip.
Post a Comment